ubambo

Mfupa mwembamba na mrefu wa kifua unaounganisha uti wa mgongo na mbavu upande mmoja wa kifua.

Mfupa wa kifua unaounganisha mbavu na uti wa mgongo.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
ubavu

Asili ya neno

Kiswahili asilia