Maana 1
Kuwa na matumaini au matarajio ya kupata au kuona jambo fulani likitimia.
Mfano wa matumizi: Wazazi hutumai watoto wao watafaulu masomoni.
Kuwa na matumaini au matarajio ya kupata au kuona jambo fulani likitimia.
Mfano wa matumizi: Wazazi hutumai watoto wao watafaulu masomoni.
Kumtarajia mtu au kitu kwa imani kwamba atatimiza au kitafanikisha jambo fulani.
Mfano wa matumizi: Tunamtumai kiongozi wetu atatatua changamoto zilizopo.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.