Maana 1
Ubao mdogo wa kuandikia kwa kutumia chaki, unaotumiwa na wanafunzi au walimu shuleni.
Mfano wa matumizi: Mwanafunzi aliandika majibu yake kwenye sleti.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.