randa

Kifaa cha seremala kinachotumika kulainisha na kusawazisha uso wa mbao kwa kuondoa sehemu zisizo sawa.

Randa ni kifaa cha seremala cha kulainishia na kusawazisha mbao.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili, labda na asili ya kipkizungu "plane" au Kiarabu