pwaji

Sehemu ya mbele ya kichwa cha binadamu, iliyo juu ya macho na kati ya nyusi hadi mwanzo wa nywele.

Pwaji ni sehemu ya mbele ya kichwa cha binadamu, kati ya nyusi na mwanzo wa nywele.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
paji