Maana 1
Bila kuwepo kwa kitu; katika hali ya kutokuwepo kwa kitu fulani.
Mfano wa matumizi: Aliondoka pasipo kuaga.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.