Maana 1
Kushusha au kuondoa mzigo, kitu, au mtu kutoka kichwani, mabegani, au mgongoni baada ya kubeba.
Mfano wa matumizi: Alipofika nyumbani, aling'atua kuni kichwani.
Kushusha au kuondoa mzigo, kitu, au mtu kutoka kichwani, mabegani, au mgongoni baada ya kubeba.
Mfano wa matumizi: Alipofika nyumbani, aling'atua kuni kichwani.
Kumsaidia mtu kushusha au kuondoa kitu alichobeba sehemu ya juu ya mwili.
Mfano wa matumizi: Watoto walimng'atua mama yao mzigo wa maji.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.