ngambi

Sehemu maalumu katika kijiji au mtaa inayotengwa kwa ajili ya wageni kukaa au kupokelewa.

Eneo maalum la wageni katika kijiji au mtaa.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
ukumbi

Asili ya neno

Kiswahili