Maana 1
Tunda la mmea wa ndizi, linaloliwa na watu na wanyama, na ambalo katika Kiswahili sanifu huitwa ndizi.
Mfano wa matumizi: Watoto walikula ndisi walizovuna shambani.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.