Maana 1
Maumivu makali yanayotokana na kidonda, jeraha, au sehemu ya mwili iliyoathirika.
Mfano wa matumizi: Alipata masua baada ya kujeruhiwa mguuni.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.