loho

Bamba bapa la chuma au bati linalotumika kukatia au kuweka vitu, hasa nyama, jikoni au machinjioni.

Chombo bapa cha chuma au bati kinachotumika hasa jikoni au machinjioni.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili