kirimba

Ugonjwa wa neva unaosababisha mtu kupoteza fahamu ghafla na kutetemeka mwili, mara nyingi kwa vipindi vinavyorudiarudia.

Kirimba ni ugonjwa wa neva unaojulikana kwa kupoteza fahamu na kutetemeka.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
kifafa

Asili ya neno

Lahaja ya Kiswahili