kimelea

Kiumbe mdogo asiyeweza kujitegemea, anayepata chakula au lishe yake kwa kuishi juu au ndani ya kiumbe mwingine na kumdhuru bila kumfaidisha.

Kiumbe anayeishi kwa kutegemea na kudhuru viumbe wengine bila kuwafaidisha.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

kutoka kitenzi -lea