Maana 1
Chenye rangi hafifu ya kijivu au rangi iliyopauka inayofanana na kijivu lakini si nzito.
Mfano wa matumizi: Ukuta wa nyumba ile umechorwa rangi ya kijivujivu.
kijivu + -jivu
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.