kabila

Jamii ya watu wanaoshirikiana asili ya ukoo, lugha, mila na desturi zinazowatofautisha na jamii nyingine.

Kundi la watu wenye asili, lugha na utamaduni unaowatofautisha na makundi mengine.

Maana

2 jumla

Visawe

2 jumla
jamiitaifa

Asili ya neno

Kiarabu