huku

Mahali au upande ulipo mzungumzaji au unaoelekezwa na mzungumzaji; upande huu.

Neno la kuonyesha mahali au upande ulipo au unaoelekezwa na mzungumzaji.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
hapa

Vinyume

2 jumla
hukokule

Asili ya neno

Kiswahili asili