Maana 1
Shauku au tamaa kubwa ya kupata chakula, kinywaji, au kitu kingine kinachotamanika.
Mfano wa matumizi: Baada ya kazi ngumu, alikuwa na hamu ya kula chakula.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.