govi

Ngozi nyembamba inayofunika kichwa cha uume kabla ya kutahiriwa.

Sehemu ya ngozi inayofunika ncha ya uume kabla ya kutahiriwa.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili