Maana 1
Hali ya mtu au kitu kulala au kuwekwa kwa tumbo chini na mgongo juu.
Mfano wa matumizi: Mtoto amelala fudifudi kwenye mkeka.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.