Maana 1
Kisicho na uzito mkubwa; chenye wepesi wa kubebwa au kuhamishwa.
Mfano wa matumizi: Mzigo huu ni mwepesi kubeba.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.