Maana 1 Nomino Namba inayofuata kumi na kutangulia kumi na mbili; idadi ya vitu au watu kumi na moja. Mfano wa matumizi: Darasani kulikuwa na wanafunzi edashara.