Maana 1
Kufanya jambo au kufika mahali baada ya wakati uliopangwa au uliotarajiwa.
Mfano wa matumizi: Alifika shuleni akiwa amechelewa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.