bokora

Kutembea bila viatu miguuni, hasa juu ya ardhi au barabara.

Kutembea pekupeku bila viatu miguuni.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
pekupeku

Asili ya neno

Kiswahili