Maana 1
Siku nyingi zinazofuatana; kipindi cha siku kadhaa mfululizo.
Mfano wa matumizi: Ayami za utoto wake zilikuwa za furaha tele.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.